Watch,Like,Subscribe & Share this Amazing Song By one & Only
@ Steve Roy
#Steve Roy#TepeTepe#Ngomma
Channel Administered by Ngomma VAS Limited. ©2020
001 Present Tepe Tepe by Steve Roy.
Produced by Magix Enga.
Video directed by ProTouch.
Contact for bookings at Steveroy313@gmail.com
Twitter: https://www.twitter.com/steveroy_ke
Instagram: https://www.Instagram.com/steveroy_ke
The Lyrics
Intro
Isokote isokote mama isokote
isokote uno isokote isokote mama
isokote isokote
001
Steve Roy
Verse 1Kana mikogo tuu
Toka nilipochumbia
Kiuno nacho ndio feni
Navyonipepetea
Eeeh,
toto show full
Navyonikatikia
Uno kata hata haemi
Kando mie nachochea Mama
Shepu nalo la kinu
tena limefugwa kanga
Linayeyuka utamuu
Zigo la kuvunja changa
Sambuli yake huwa finyu
Utawapata wajaka
Wamejaaaliwa uno
Wanalikata kwa swaga Hivi....
Linacheuka____tepe tepe
Liyeyuka___tepe tepe
Haya mwagika____tepe tepe
Uno uno uno uno uno uno
Haya mwagika___ tepe tepe
Linadodoka___tepe tepe
Linamenyeka___tepe tepe
Uno uno uno uno uno uno
Outro .....
Nifriday tupate show
Moja hadi majogoo
Wana tubane choo maintain it
majogoo
It's a weekend wee njoo
Inama ushike toe
Wine it down low
Nikupe haki koo
Chorus ......
Isokote,
chini kwa chini,
isokote
Uno la nini
Isokote
Aaah kata kipwani Isokote
Naunyonge kwa ndani
Isokote
Bridget achieng' __isokote
Kamene goro__iokote
Mwende macharia__isokote
Piera makena__aiokote
Isokote isokote mama
isokote isokote uno isokote isokote mama
isokote isokote
Verse 2....
Oh toto una joto
Damu nayo masafa mbioni
Kitandani makomandoo
Niiweke iweke
Sheeee
Nyundo ituange kokoto
Ipepete mbio kama feni
Nikumwagie kama kondoo
Uwashwe uwashwe
Purpookay
Geuka nikupe za akothe
Wazi wazi tusifiche
Chungana na kina pozee
Watakukata na wapotee
Nyuma unavyotetema,isokote
Lala chali ,isokote
Nipe za nyuma,isokote
Msumari ngi ngi,isokote Nifriday tupate show
Moja hadi majogoo
Wana tubane choo maintain it
majogoo
It's a weekend wewe njoo
Inama ushike toeWine it down low
Nikupe haki koo
Chorus Isokote,
chini kwa chini,
isokote
Uno la nini
Isokote
Aaah... kata kipwani
Isokote
Naunyonge kwa ndani
Isokote
Bridget achieng' __isokote
Kamene goro__isokote
Mwende macharia__isokote
Wee Piera makena__aiokote
Isokote isokote mama
isokote isokote uno isokote isokote mama
isokote isokote.
Written by Steve Roy
#tepetepe #steveroy #001
More about Steve Roy
Steve Roy is a renown Kenyan Bongo Artist with three songs in Album plus his latest Mega Music Project#Tepe Tepe
His other songs are:
Simama Wakuone-July 2019
Basi Nenda-October 2018
Kiama-March 2017
No comments:
Post a Comment
Dear Reader, We Appreciate Your Comments#They Keep Us Moving